Mikataba tunayoingia izingatie sheria - Bisimba
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Dkt. Hellen Kijo-Bisimba ametahadharisha kuwa mikataba mbalimbali ambayo Tanzania inaingia na nchi nyingine inapaswa kuzingatia sheria ya mikataba inavyoekeza.