Makao Makuu ya makanisa kujengwa Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema amefurahishwa na uamuzi wa Kanisa Katoliki na Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) wa kutafuta viwanja Dodoma ili wajenge ofisi za makao yao makuu pamoja na makazi ya viongozi wao wakuu.