Abu Dhabi kuisaidia Tanzania ujenzi wa miundombinu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi Mohamed Al Suwaidi mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amepokea ujumbe kutoka kwa mrithi wa Mfalme wa Abu Dhabi na Kaimu Rais, Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS