'Dullah Mbabe' amchakaza mchina raundi ya kwanza
Bondia Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’ ameonesha ni moto wa kuotea mbali linapokuja swala la kurusha ngumi baada ya kumchakaza Mchina, Chengbo Zheng katika raundi ya kwanza kwenye pambano la raundi 10 lilifanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee,Dsm.