Wachuuzi wa samaki katika soko la Feri. Wachuuzi wakipanga vizuri samaki wakati wakisubiri wateja katika soko la Feri jijini Dar es Salaam jana, wachuuzi hao wamesema wateja wamepungua kwa sasa kutokana kwa madai ya kutokuwa na hela. Read more about Wachuuzi wa samaki katika soko la Feri.