Vyama vya ushirika vyatakiwa kuanzisha viwanda
Vyama vya Ushirika vimetakiwa kushiriki katika anzishwaji wa viwanda vidogo ambavyo vitawezesha uchakataji wa mazao ya wakulima, wavuvi na wafugaji, kuweka kwenye madaraja na kufungasha tayari kwa ajili ya mauzo.

