Ukosefu wa ajira chanzo cha uhalifu Kinondoni
Idadi kubwa ya watu wasio na ajira pamoja na elimu ya ujasiriamali ambayo ingewasaidia kujipatia kipato halali imetajwa kuwa moja ya sasabu zinazochangia ongezeko la vitendo vya uhalifu katika Manispaa ya Kinondoni.