Mfumo wa elimu kwa wenye usonji ubadilishwe: Lyimo
Takwimu zinaonesha kuwa watoto wengi wenye matatizo ya usonji wanaongezeka kwa kukaa majumbani kutegemea ulezi wa wazazi kutokana na kukosa elimu huku ikielezwa elimu wanayoipata ni ile ya awali na msingi pekee.