Bodi ya Mikopo kuanza uhakiki wa wanufaika
Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu imetangaza kuanza kwa zoezi la uhakiki wa wanufaika wa mikopo inayotolewa na bodi ikiwa zoezi hilo litadumu kwa kipindi cha mwezi mmoja na wale watakaopungukiwa na vigezo hawataendelea kupatiwa mikopo.