Serengeti Boys yaingia kambini kujifua kimataifa
Timu ya Taifa ya Tanzania ya Vijana Serengeti Boys imeingia kambini tayari kwa maandalizi ya Mashindano ya Kimataifa waliyoalikwa na Korea Kusini yatakayofanyika nchini humo kuanzia Novemba 13 mwaka huu.