Guardiola aanza nyodo baada ya kuichapa Barcelona
Kufuatia ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Barcelona jana usiku kwenye Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya, Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, amesema hawakucheza na Barcelona bali wamecheza na timu ya utamaduni wao.