Wananchi watakiwa kushiriki kudhibiti uhalifu
Serikali imewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi juu ya uwepo ya watu wanaowatilia shaka katika maeneo yao kutokana na kubainika kuwa baadhi ya wahalifu wanaofanya matukio makubwa ya uhalifu wanatoka nchi za jirani.