Nyandu Tozi aagana na ukapera Rapa mkali nchini Tanzania Nyandu Tozi amefunga ndoa mwishoni mwa wiki iliyopita na kutoa ya moyoni kuwa hata wagumu huwa nao wanaoa kwani mapenzi hayawezi kuzuilika na ndo maana hata wanajeshi hufikia wakati wakaoa. Read more about Nyandu Tozi aagana na ukapera