Gabo aiponda 'Bongo Movie' ya sasa

Msanii wa filamu Gabo Zigamba amesema sanaa ya sasa siyo kama ya zamani, na kuna utofauti mkubwa kati ya zama hizo mbili na kuongeza kuwa sanaa hii ya sasa ina ujanja ujanja mwingi ingawa inalipa tofauti na ya zamani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS