Madhara ya tabia nchi Afrika yahitaji dola bil 5.5 Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya El Niño na mabadiliko ya tabianchi, Balozi Macharia Kamau. Dola bilioni 5.5 zinahitajika ili kukabliana na madhara ya mabadiliko ya tabia nchi yanayoshuhudiwa katika nchi zilizoko kusini mwa Afrika. Read more about Madhara ya tabia nchi Afrika yahitaji dola bil 5.5