Viongozi wa sasa wanaua watu- GK
Rapa mkongwe kwenye muziki wa hip hop Tanzania King Crazy GK amefunguka na kusema kuwa viongozi wengi wa Afrika kwa sasa hawana uzalendo wala utu wametanguliza maslahi yao mbele kiasi cha kutojali wananchi na kupelekea kuwaua watu wasio na hatia.