Watu 4 wanusurika kusombwa na maji Tabora Barabara ilikuwa imejaa maji hivyo hakujua vizuri mahali pa kupita hali iliyosababisha maji kuizidi nguvu bajaji na kuwaburuza mtaroni dereva na abiria wake watatu. Read more about Watu 4 wanusurika kusombwa na maji Tabora