Kodi daraja la Kigamboni wakili kufungua kesi “Tunakwenda Mahakama Kuu kuomba itamke kwamba kitendo cha wananchi wa Kigamboni au mtu yeyote kutoka nje ya Kigamboni kulazimika kulipa tozo ya kuvuka daraja hilo ni kinyume cha Katiba.” Read more about Kodi daraja la Kigamboni wakili kufungua kesi