Chanzo cha Jay Z na Beyonce kutishiwa kuuawa Picha ya Jay Z na Beyonce Mastaa wa muziki Duniani Jay Z Mkewe Beyonce na familia yao wamepokea vitisho vya kuuawa sababu ya madai ya uovu,uongo na ubakaji baada ya jina la JayZ kutajwa kuhusu hilo. Read more about Chanzo cha Jay Z na Beyonce kutishiwa kuuawa