Simba wakishinda ni waamuzi, Yanga ni familia

Wachezaji Kibu Denis (Simba) na Aziz Ki (Yanga)

Baada ya Yanga kuibuka na ushindi wa 2-1 hapo jana dhidi ya Singida Black Stars hapo jana katika uwanja wa KMC Complex, kumeibua upya mjadala wa upangaji wa matokeo katika Ligi kuu hapa nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS