Elimu ya fedha yawafikia Same Wananchi wa Kata ya Makanya, Wilaya ya Same, Mkoani Kilimanjaro, wameipongeza Serikali kwa kuwapelekea elimu ya fedha ambayo inatarajia kuwa kichocheo cha maendeleo yao ya kiuchumi. Read more about Elimu ya fedha yawafikia Same