Tumieni Fursa kuwapeleka watoto shule-Mhe.Ghasia
Mbunge wa Mtwara vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amewataka wazazi na walezi Mkoani Mtwara kutumia fursa inayotolewa na serikalya kutoa elimu bila malipo kwa kuwapeleka shule watoto wao, ili kuwajengea misingi bora ya maisha.