Wanne wafa katika ajali Mbeya
WATU 4 wamefariki dunia na wengine 27 wamejeruhiwa baada Lori lililokuwa limebeba mzigo wa saruji likitokea jijini Mbeya kwenda Sumbawanga,kupata ajali eneo la Mlima Mbalizi na kuyagonga magari manne na watembea kwa mguu kabla ya kuanguka.