WanaHiphop Bongo hawajui kutumia fursa Producer mkongwe Joachim Kimario 'Master Jay’, ameweka wazi kwamba licha ya muziki wa hip hop kupendwa zaidi lakini wasanii wake hawajui kuutumia muziki huo kimafanikio. Read more about WanaHiphop Bongo hawajui kutumia fursa