JK ataka bidhaa za wajasiriamali zitafutiwe masoko Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ametaka serikali kuweka njia bora zitakazowapatia masoko wajasiriamali wanaobuni bidhaa ili ziweze kuwafikia walaji masokoni Read more about JK ataka bidhaa za wajasiriamali zitafutiwe masoko