Rais Magufuli ahimiza umoja na mshikamano

Rais Magufuli akihutubia Baraza la Eid

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amempongeza Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir bin Ali kwa juhudi zake za kuwaunganisha waislamu wote.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS