Mfumuko wa bei kwa mwezi Juni wapanda kufikia 5.5%

Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Ephraim Kwesigabo akitoa taarifa ya mfumuko wa bei wa taifa wa mwezi Julai, 2016 mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es salaam ambapo mfumuko wa bei umeongezeka hadi asilimia 5.5 kutoka asilimia 5.2 mwezi uliopita.

Mfumuko wa bei wa taifa wa mwezi Juni, 2016 umeongezeka hadi asilimia 5.5 kutoka asilimia 5.2 mwezi uliopita kutokana na kuongezeka kwa kasi ya upandaji wa bei za bidhaa na huduma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS