Kawafichueni watumishi hewa na watoro-Kairuki

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anaeshughulikia Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki amewataka wakurugenzi walioteuliwa waende kusimamia zoezi la kuwabaini watumishi hewa pamoja watoro makazini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS