Bilioni 1.3 zakusanywa daraja la Kigamboni

Jumla ya shilingi bilioni 1.3 zimekusanywa kutoka Daraja la Nyerere lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam kupitia tozo mbalimbali zinazolipwa na vyombo vya usafiri vinavyopita darajani hapo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS