Tanzania yapokea madawati 105 kutoka kwa Mabohora Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa, Balozi Dk. Augustine Mahiga amewataka wadau mbalimbali wa maendeleo nchini kuendelea kuchangia sekta ya Elimu. Read more about Tanzania yapokea madawati 105 kutoka kwa Mabohora