Wananchi epukeni uhasama uchaguzi umekwisha- Mpoto
Msanii wa muziki wa dansi, sanaa ya jukwaani (theatre performances), mwandishi wa vitabu vya mashairi na hadithi zenye mafunzo,amewataka watanzania kuepuka uhasama kwani uchaguzi umealizika na kinachotakiwa ni wao kujikita kwenye shughuli za ujenzi