Wanafunzi wawili shule ya Blessing watekwa Mwanza
Wanafunzi wawili wa kike wanaokadiliwa kuwa na umri wa miaka kati ya 6 hadi 8 wanaosoma katika shule ya msingi bressing modern iliyopo Nyasaka, Wilayani ilemela Mkoani Mwanza wametekwa na watu wasiojulikana baada ya kuvamia gari la shule hiyo katika eneo la capripoint jijini humo.