Gari lenye mirungi lapata ajali, mmoja afariki

Mirungi iliyokutwa ndani ya gari

Mtu mmoja amefariki dunia baada ya gari alilokuwa akisafiria kupata ajali kwa kupinduka baada ya dereva wake kuendesha kwa mwendokasi akiwahisha dawa za kulevya aina ya mirungi kwa wateja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS