Mhagama atembelea mradi wa ghala la dawa la MSD
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama leo February 6, 2025 ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa ghala la Kisasa la kuhifadhia bidhaa za afya linalojengwa na na Bohari ya Dawa (MSD) katika eneo la Kizota, Mkoani Dodoma.