Agoma kuondoka Pakistan baada ya kukataliwa ndoa
Mwanamke mmoja Raia wa nchini Marekani, Onijah Andrew Robinson, amezua taharuki mjini Karachi, Pakistan baada ya kudai dola 5,000 kwa wiki na kuelezea nia yake ya kuwa raia wa Pakistan kufuatia kuachwa kwenye mataa na mwanaume raia wa Pakistan waliyepanga kufunga ndoa.