Kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Shunyanga SACP Janeth Magomi
Mkuu wa shule ya sekondari Chambo iliyopo katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, Zaharani Patrombeyi (44), amejiua baada ya kunywa kitu kinachodhaniwa kuwa ni sumu.