Wakazi 644 wa magomeni kota wamlilia Lukuvi

Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Mh wiliam Lukuvi ametoa asiku 10 kwa Katibu Mkuu wa wizara hiyo kutafuta njia ya kutatua mgogoro wa Manisapaa ya Kinodnoni na wakazi 644 wa ene la Magomeni Kota uliodumu kwa kipindi cha miaka 5 sasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS