Mbunge wa Monduli akana Lowasa kumiliki Shamba
Mbunge wa Monduli Julius Laizer Kalanga (Chadema), amesema kuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa hana hati miliki ya shamba lolote katika jimbo hilo bali ni upotoshaji wa taarifa alizopewa Waziri wa Ardhi,Wiliam Lukuvi na wasaidizi wake.