Ronaldo amkubali Mourinho Man United

Wakati Jose Mourinho akitarajiwa kutangazwa kuwa kocha mpya wa Machester United, Mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo Cristiano Ronaldo ana imani na kocha huyo kurudisha hadhi ya Mashetani Wekundu hao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS