Mbunge Riziki Mngwali ataka mjusi arejeshwe Lindi

Mbunge wa Viti Maalumu (CUF), Riziki Mngwali amehoji Bungeni kwa nini serikali isirudishe mjusi ambaye alichukuliwa mkoani Lindi miaka ya 1900's katika kijiji cha Tandeguru kata ya Mipingo mkoani Lindi na kupelekwa ujerumani ambapo amehifadhiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS