Serikali kudhibiti utoroshwaji wa Tanzanite

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage.

Serikali imesema uamuzi wa kuanzisha eneo huru la Kiuchumi (EPZ), katika mamlaka ya mji mdogo wa Mirerani mkoani Manyara unalenga kudhibiti utoroshwaji wa madini ya Tanzanite.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS