Timu zote za Tanga zaaga Ligi Kuu TZ Bara
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara VPL imemalizika hii leo katika viwanja mbalimbali hapa nchini na hatimaye kupata majibu ya nani wataungana na Coastal Union kushuka daraja na ni nani wataungana na Yanga katika nafasi nne za juu msimu huu.