Dar yazizima Yanga ikirejea, Dida habari ya mjini
Mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania bara, Yanga ambao kikosi chao kimewatoa kimasomaso Watanzania kwa kufuzu kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika CAF wakiwatoa Sagrada Esperanca ya Angola, wamerejea nchini alasiri.