Watanzania tushirikiane kupinga ukatili Mkaguzi wa Dawati la Jinsia katika kituo cha Polisi Oysterbay Bi. Prisca Komba amesema vitendo vya ukatili wa jinsia nchini bado vipo kwa kiasi kikubwa hasa kwa upande wa vijana waliopo kwenye mahusiano. Read more about Watanzania tushirikiane kupinga ukatili