Wakamatwa wakisafirisha gunia15 za mirungi- Mara
Watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Mara kwa kosa la kusafirisha magunia 15 ya dawa za kulevya aina ya mirungiyenye ujazo wa nusu tani wakitokea Tarime mkoani Mara kwenda jijini Mwanza.