Bendera ya EAC kuanza kutumika kwenye ofisi zote

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa imezitaka taasisi za serikali kuhakikisha zinatumia alama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambazo ni Bendera na Wimbo wa Jamuiya ya Afrika Masharika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS