Wanafunzi hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko

Wanafunzi wakiangalia vyoo wanavyotumia (Picha na Maktaba)

Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mustafa Sabodo iliyopo halmashauri ya wilaya ya Mtwara, wako hatarini kupata magonjwa ya milipuko pamoja na kung’atwa na wadudu kutokana na kujisaidia maporini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS