Dar wenyeji riadha taifa kurindima rasmi Juni 3-4
Baada ya kuanda michuano ya vijana Afrika Mashariki uongozi wa Riadha Tanzania (RT) umesema jiji la Dar es Salaam litakuwa mwenyeji kwa mara nyingine wa mashindano makubwa ya riadha lakini safari hii ni ya taifa yatakayoshirikisha mikoa yote nchini.