Simba yaunda kamati ya kubadili mfumo kujinusuru
Baada ya kutoa sababu nyingi za utetezi juu ya kile kilichoplekea klabu ya Simba kupoteza mwelekeo na kuwa na matokeo mabovu katika michuano mbalimbali iliyoshiriki msimu huu rais wa timu hiyo Evans Aveva ameunda kamati ya kubadili mfumo kujiendesha.