Serengeti Boys yatakata, yaichapa India 3-1 Timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania Serengeti Boys wamewaonyesha soka wenyeji wao timu ya India kwa kuwachapa magoli 3-1 katika mechi ya michuano ya vijana ya AIFF inayoendelea Mjini Goa. Read more about Serengeti Boys yatakata, yaichapa India 3-1